HABARI KWA KIFUPI
Anthony Joseph
Qeene NTE Mchomvu
WAJUE WATANGAZAJI
WAPO RADIO
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA
Wajue watangazaji WAPO RADIO 98.0 MHZ
Copyright© WAPO RADIO
ANTHONY JOSEPH
NA
YALIYOTOKEA
Ni kipindi kilicho sheheni
wasikilizaji wengi sana
wapigao simu na kutuma
ujumbe aidha wakikitakia
mafanikio mema  
KIPINDI HIKI CHA
YALIYOTOKEA...
W
A
P
O

R
A
D
I
O

T
U
M
E
L
E
N
G
A

K
U
K
U
H
A
B
A
R
I
S
H
A
Vipindi ninavyosimamia:-

Yaliyotokea
Kipindi hiki huanza kila siku saa
moja kamili usiku (1.00 usiku) hadi
saa moja na dakika arobaini na
tano (1.45 usiku)

Madhumuni ya kipindi cha
Yaliyotokea
Kinalenga kuelimisha wananchi juu ya
matukio ya kijamii kupitia matukio ya
habari zilizotokea ndani na nje ya nchi.

Aidha kipindi hiki ni mkusanyiko wa
habari zilizotokea ulimwenguni kote,
usikose kukisikiliza ni kizuri kwa ku
tune Fm 98.0 Mhz

Weekend Special
Kila Jumapili kuanzia saa tatu asubuhi
mpaka saa sita mchana (3.00 – 6.00
Mchana)

Madhumuni ya kipindi cha
weekend Special
Ni kipindi kinacholenga mikasa
inayotokea ndani ya Jamii, mikasa ya
kukatisha tamaa kwa kusimuliana,
kupeana faraja na kusaidiana.

Nyimbo bora tano za wiki kupata
kufahamu mauzo ya albamu za
wanamziki, kufahamu matamasha
yaliofanyika na yanayotarajiwa
kufanyika. Kipindi hiki ni kizuri
kusikiliza na kutangaza redioni na
katika kurasa hizi.

Wasikilizaji hupata fursa ya kupiga
simu studio kutakiana weekend
njema, kualikana, kutembeleana,
kutafutana na waliopotezana.

Bila kusahau kipindi cha wanafunzi
ambacho pia tunawakaribisha
kuweka picha zao katika mtandao
wetu wa kublog...

Yasemavyo magazeti
Ijumaa na Jumapili.
Kusoma taarifa ya habari
Pamoja na kipindi cha
Yaliyotokea, pia ni
Mwandaaji na mtayarishaji wa
vipindi
Mtangazaji na
Mwandishi wa habari
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%