98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
Mwandishi wa Habari
Mtangazaji
Mtayarishaji wa vipindi na
Mtunza fedha

Mbali na utayarishaji, usimamizi wa vipindi mbalimbali, usimamizi na ukusanyaji wa
mapato katika studio za WAPO RADIO 98.0
FM .

Ni mwandishi na mwandaaji wa taarifa
mbalimbali za habari za ndani na nje ya nchi.

Kipindi cha Watoto

Katika utayarishaji wa kipindi cha watoto,
kimekuwa na faida kwa watoto kwa
kuwafundisha yawapasayo kufanya
katika maisha yao ya utoto, na
kuwaelekeza jinsi ya kuishi na wazazi
wao au waliowazidi umri.


Kama chombo kingine chochote cha habari,
watoto hujifunza kwa vitendo kuondoa
uoga na aibu kama watoto wadogo
kuzungumza mbele za watu au kuongeza
ujasiri wa kutangaza hadharani

Ni matumaini yangu kama msimamizi na
mtayarishaji wa kipindi kwamba, watoto
watasimama sawa na kukua katika hayo
waliojifunza kupitia kipindi hiki.

Tunakaribisha maoni kuhusu kipindi hiki ili
kukiboresha zaidi

Wasiliana nasi kupitia email hii:-
    watoto@wapotz.org
KWA
KUTANGAZA
HAPA
WASILIANA NASI
KWA
SIMU
No. 0754 567389 au
TUMA E-MAIL:

waporadiofm@wapotz.o
rg
LAURA BONIVENTURE MSAMA
WINFRIDA ELIUFOO MUNISI
TANGAZA
HAPA

0716
179 417
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
TANGAZA
HAPA
Mapenzi yake na muziki
yalianza kanisani
ambapo
alijifunza
kupiga kinanda
akiwa
na umri mdogo sana
pamoja na kuimba
kwenye kwaya ya
kanisa lao. Akiwa na
umri wa miaka 13
Michael alianza kuishi
maisha ya kiroho.

Marafiki zake
walimshangaa kwa
mambo aliyokuwa
akiyafanya.

Alijiunga na Bible Study
kanisani na kuamua
kumtolea Mungu
maisha yake yote.
Akikosekana nyumbani
basi yupo kanisani na
akipata muda wa bure
basi hujifunza kuandika
mashairi ya
nyimbo...