98.0 FM WAPORADIO
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
WATANGAZAJI WAPO RADIO NA KIPINDI CHA GOSPEL PROMO TIME
Promotion Time
Mchana Mwema
Yasemavyo magazeti

PROMOTION TIME
Manufaa ya kipindi hiki kwa jamii ni kutoa burudani na kufahamu ni mwimbaji gani anaingia katika ulimwengu wa muziki wa injili na
mategemeo yake ya baadaye, aidha kupanda na kushuka  kwake
na pia soko lake linapatikana wapi. Hata hivyo kwa mwimbaji
kupitia kipindi hiki anakuza jina lake na kupata soko na mashabiki
zaidi.

Lengo ni kutangaza nyimbo za waimbaji chipukizi, star waliopo
sokoni na wale wanaotarajia kuwa sokoni - A forest green
target to gospel musicians world wide

Matumini ya kipindi baadaye ni kuwafikia waimbaji wengine walio
nje ya  Tanzania lakini  wanafanya muziki wa injili ili Jina la Yesu
lizidi kutangazwa kupitia uimbaji.

Pia kutoa album  bora kwa mwaka ili wengine walio chini wapate
kujifunza kwa waliokuwa juu.

Kwa maana ya wanamziki wanaofanya vizuri zaidi katika anga la
Mziki na Mungu awabariki, Mungu ibariki WAPO Radio FM 98.0
TANGAZA
HAPA
WASILIANA
NASI KWA
SIMU
No. 0754 567389
au TUMA
E-MAIL:

waporadiofm@wapotz.o
rg
LAURA BONIVENTURE MSAMA
Kipindi cha
Watoto...
Angelina Lukindo
Akiwa studioni WAPO RADIO FM 98.0 wakati wa kipindi
cha Gospel Promo Time