98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
waporadiofm@wapotz.org
WATANGAZAJI WAPO RADIO NA KIPINDI CHA GOSPEL PROMO TIME
Phone #
255 22 285 1 265
Vipindi ninavyosimamia:-
Promotion Time
Mchana Mwema
Yasemavyo magazeti

PROMOTION TIME
mwimbaji gani anaingia katika ulimwengu wa muziki wa injili na mategemeo yake ya baadaye, aidha kupanda na kushuka  kwake
na pia soko lake linapatikana wapi. Hata hivyo kwa mwimbaji
kupitia kipindi hiki anakuza jina lake na kupata soko na mashabiki
zaidi.

Lengo ni kutangaza nyimbo za waimbaji chipukizi, star waliopo
sokoni na wale wanaotarajia kuwa sokoni - A forest green
target to gospel musicians world wide

Matumini ya kipindi baadaye ni kuwafikia waimbaji wengine walio
nje ya  Tanzania lakini  wanafanya muziki wa injili ili na Jina la Yesu
lizidi kutangazwa kupitia uimbaji.

Pia kutoa album  bora kwa mwaka ili wengine walio chini wapate
kujifunza kwa waliokuwa juu. Kwa maana ya wanaofanya vizuri na
Mungu ibariki WAPO Radio FM 98.0