98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
SIFA NA KUABUDU MBEZI, TEMEKE BCIC - HAKUNA LISILOWEZEKANA

Ibada katika vituo vyote viwili, wiki iliyoishia tarehe 03
Agosti 2008 ilitawaliwa na msisitizo wa nguvu ya sifa
kufuatia tamko la Askofu Sylvester Gamanywa
kufundisha nini faida ya kusifu na kuabudu.

Wakati Queene Nte Mchomvu na Sara Magesa
wakiongoza vipindi vyote viwili vya sifa, asubuhi na
jioni, katika ukumbi wa PTA Temeke. Mwenzao Amon
Kilahilo akiwa na kikundi kizima cha kusifu na kuabudu
waliamua kusifu kikweli kweli huko Mbezi Beach.

Waimbaji hawa kama familia ya Asafu ambao maisha
yao yote yalikuwa ni kuongoza katika kumtukuza
Mungu, na kwa mkono wa Mungu ulio hodari kuwapiga
maadui za wana wa Israel ndivyo walivyokuwa
wakifanya viongozi hawa wa sifa katika vituo vyote
viwili.

Kama anavyoonekana katika picha ya chini
akiomboleza kwa Mungu Queene Mchomvu ili kutoa
ishara ya watu wengine kumfuatia, Sara Magesa
alikuwa akipokea kwa kuimba nyimbo za sifa baada ya
kuona kuwa kipindi cha kuabudu kimetosha.
KWA
KUTANGAZA
HAPA
WASILIANA
NASI KWA SIMU

No.
0754 567389
au TUMA
E-MAIL:
waporadiofm@w
apotz.org
LAURA BONIVENTURE MSAMA
Queene Nte Mchomvu
Sabasaba Temeke.
Kusifu na kuabudu ni njia kuu ya uponyaji.
Karibu PTA Hall kila Jumapili...
TANGAZA
HAPA

0716
179 417
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
Wiki iliyoishia tarehe 10
Agost, 08 Queene
alikuwa akiimba wimbo
wake mwenyewe wa
kuabudu ambao
ulionekana kufahamika
na wengi wa washirika
Hakuna Lisilowezekana
au BCIC Tawi la
Temeke.

Sehemu ya wimbo huo
inasema, "Usinipitee,
Usinipitee Bwana
Unapogusa wengine
Bwana Yesu niguse.
Maisha yangu hayana
mwelekeo bila mguso
wa mkono wako...
wakifanya viongozi hawa wa sifa. Usiipite huduma yangu
inategemea mguso wako Nakutumaini Jehova Masiah
usinipite uniguse

=============================

Tunakaribisha maoni kuhusu kipindi hiki ili kukiboresha zaidi
Wasiliana nasi
kupitia email hii:-
Counter