


| HABARI KWA KIFUPI |
| TANGAZA HAPA |
| Qeene NTE Mchomvu |

| WAJUE WATANGAZAJI WAPO RADIO |

| LAURA BONIVENTURE MSAMA {LBM} NA KIPINDI CHA GOSPEL PROMO TIME |
| MTANGAZAJI NA MTAYARISHAJI WA VIPINDI NA MATANGAZO |
| W A P O R A D I O T U M E L E N G A K U K U H A B A R I S H A |
J’MOSI SAA 7:30-10:00
Jamii inanufaika na kipindi hiki kwa kupata ujumbe wa neon la MUNGU lenye kujenga, kufundisha kutoa faraja, kuponya na kumtukuza MUNGU, kupata burudani kupitia mapigo ya muziki {beats}, kufahamu ni waimbaji gani wapya au nyimbo mpya zilizoingia katika ulimwengu wa muziki wa injili, nyimbo zao zinapatikana wapi na kwa mtindo gain? Jinsi ya kumpata muimbaji {mawasiliano yake} vilevile historia ya muimbaji kwa ufupi.
dini inayoongoza kwa vipindi vizuri na watangazaji wenye viwango, ni mguso wa jamii kama watangazaji wanavyojitahidi kuigusa jamii, Karibu kusikiliza Aimen. |


