HABARI KWA KIFUPI
Qeene NTE Mchomvu
WAJUE WATANGAZAJI
WAPO RADIO
Wajue watangazaji WAPO RADIO 98.0 MHZ
Copyright© WAPO RADIO
RITHA CHUWALO
NA
KIPINDI CHA PATAPATA
PATAPATA NI KIPINDI
CHA MKUSANYIKO WA
HABARI MBALIMBALI ZA
NDANI NA NJE YA NCHI,
HABARI ZA SIASA , JAMII,
UCHUMI NA MICHEZO
BILA KUSAHAU MAONI YA
MSIKILIZAJI KWA RIPOTI
ANAZOZISIKIA.
W
A
P
O

R
A
D
I
O

T
U
M
E
L
E
N
G
A

K
U
K
U
H
A
B
A
R
I
S
H
A
PATAPATA

KIPINDI HIKI HUANZA KILA SIKU
SAA 1.15 HADI SAA 1.45

27 JUNE 2008

Bibi mmoja kizee
aliyefahamika kwa jina la
Magwega Mwita Siomo umri
miaka 88, ameuwawa kikatili
huko mkoani Mara wilayani
Serengeti kwa kukatwakatwa
mapanga kwa tuhuma za
uchawi na Bwana mmoja
aliefahamika kwa jina la
Nyangi Busule.


Tukio hilo lililowasikitisha
wengi wilayani hapo lilitokea
mara baada ya marehemu
kufika nyumbani kwa
mtuhumiwa kutafuta nini
kifanyike baada ya Ng’ombe
wa mtuhumiwa kuharibu
mazao ya shamba la
marehemu.

Jeshi la Polisi wilayani humo
linamshikilia mtuhumiwa wa
mauaji hayo ambae hata
hivyo yu mahututi hospitalini
baada ya kushindikana kwa
hatua ya kujiua mara tu
baada ya utekelezaji wa
mauaji ya kikatili kwa
marehemu kizee hicho.     
...Picha ya Rais yabadilishwa
Ritha Chuwalo
LAURA BONIVENTURE MSAMA
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%