98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
WATANGAZAJI WAPO RADIO NA KIPINDI CHA WATOTO
255 22 285 1 265
Msafiri Gospel
Singers:-
0777 760 729 Mwenyekiti
0713 280 574 Mwalimu
0714 872871Mwalimu
Tuwasiliane ili tuwe
marafiki

Je, wewe ni mtoto chini ya miaka 12?
Na ungependa kushirikiana na Msafiri
Gospel Singers kwenye video yao ya Wimbo
wa Mazoea?

Sikiliza wimbo kwa makini, Jumamosi
kwenye kipindi cha Watoto hapa WAPO
RADIO 98.0 FM, utatakiwa uimbe sehemu
ya wimbo huo kisha utatakiwa upige simu
na kuimba, ukiweza utaingizwa moja kwa
moja kushirikiana nasi katika kurekodi
mkanda wa video...
TANGAZA HAPA
KWA KUTANGAZA HAPA
WASILIANA NASI KWA SIMU
No.
0754 567389 au TUMA
E-MAIL:
waporadiofm@wapotz.org
LAURA BONIVENTURE MSAMA
TANGAZA HAPA
Elizabeth Richard wa Eloi! Eloi, Anna
Stephen wa Msafiri G. Singers na
Suzana Elias ambao ni baadhi ya
watoto waliokuwa wakiulizana na
kujibu maswali redioni
Kwa mawasiliano ya kipindi cha
watoto, tuma email:-
watoto@wapotz.org
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%