98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko
mikoani
022 285 1 265
WATANGAZAJI WAPO RADIO NA KIPINDI CHA WATOTO
255 22 285 1 265
Msafiri Gospel
Singers:-
0777 760 729 Mwenyekiti;
Ambangile Mussa Mwasanjobe
0713 280 574 Mwalimu
0714 872871Mwalimu
Tuwasiliane ili tuwe marafiki
Je, wewe ni mtoto chini ya miaka 12?
Na ungependa kushirikiana na Msafiri Gospel Singers kwenye video yao ya Wimbo wa
Mazoea?

Sikiliza wimbo kwa makini, Jumamosi
kwenye kipindi cha Watoto hapa WAPO RADIO
98.0 FM, utatakiwa uimbe sehemu ya wimbo
huo kisha utatakiwa upige simu na kuimba,
ukiweza utaingizwa moja kwa moja
kushirikiana nasi katika kurekodi mkanda
wa video.
=========================
Kama umetembelea mtandao huu au
kuwasilikiliza watoto wa Msafiri Gospel
Singers live wakitafuta marafiki, basi toa
maoni yako kwa kututumia email:-
watoto@wapotz.org
=========================
TANGAZA HAPA
KWA KUTANGAZA HAPA
WASILIANA NASI KWA SIMU
No.
0754 567389 au TUMA
E-MAIL:
waporadiofm@wapotz.org
LAURA BONIVENTURE MSAMA
TANGAZA HAPA
Winfrida Munisi; Mtangazaji WAPO RADIO na watoto wa Msafiri Gospel Singers
Hawa ndio kikundi kizima cha
Msafiri Gospel Singers waliotembelea
studio za
WAPO RADIO 98.0 FM,
na baadhi ya marafiki zao. Aliyekaa
kwenye kiti ni Mwenyekiti wao Ndg.
Ambangile Mussa Mwasanjobe
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
Waimbaji (watoto) wa Msafiri Gospel Singers katika
NDOA NA
FAMILIA:

Ni kipindi
kinachoelimisha na
kutoa ushauri
mbalimbali kuhusu
suala zima la ndoa
na
familia...
RUDI
UKURASA WA
KWANZA...