98.0 FM WAPORADIO
Simu
285 1 265
Kama uko mikoani
022 285 1 265
MHARIRI MKUU HUTANGAZA VIPINDI VYOTE
Ni Msimamizi Mkuu wa vipindi vyote vya
habari WAPO RADIO FM

Radio hii ina vipindi vinavyohusiana na habari
kama ifuatavyo:-
Taarifa ya habari cha kila siku saa 1.00 jioni
kinachofuatana na kipindi cha Yaliyotokea
isipokuwa jumapili...

Muhtasari wa habari - kila siku saa 6.00 mchana
na saa 10.00 jioni
KWA KUTANGAZA
HAPA WASILIANA
NASI KWA

SIMU No.
0754 567389
LAURA BONIVENTURE MSAMA
JOHN NASCO SOLOMBI
MHARIRI MKUU
WAPO RADIO
TANGAZA
HAPA

0716
179 417
TANGAZA
HAPA

PIGA SIMU
0716
179 417
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
Patapata, kipindi hiki ni cha matukio ya habari
mbalimbali kinachosikika kila siku saa1:15
kinahusisha ripoti za waandishi wakala na
mahojiano na wahusika moja kwa moja

Yaliyotokea - Kipindi hiki ni cha matukio ya habari
mbalimbali yanayotokea, kinawapasha
Watanzania habari zilizotokea siku nzima, pia kina
ripoti za Waandishi kutoka maeneo mbalimbali
hapa nchini na nje ya nchi, makala za michezo
pamoja na mahojiano ya moja kwa moja na watoa
habari kama vile mawaziri, wanasiasa, viongozi
wa polisi na wengine.

Yasemavyo Magazeti: Ni kipindi cha uchambuzi
wa habari mbalimbali kwenye magazeti ya kila
siku ya Kiswahili ya hapa nchini Tanzania. Kipindi
hiki kinasikika kila siku saa 1:45 – 2:30 asubuhi   

Pamoja na kusimamia kitengo cha habari,
kuratibu vipindi vya habari na kutangaza vipindi
mbalimbali vya habari kama patapata, yaliyotokea,
yasemavyo magezeti bila kusahau kipindi cha
tufanyeje.
Tufanyeje ni kipindi cha mahojiano na viongozi
mbalimbali wakiwemo mawaziri, wanasiasa,
wachumi madaktari na wengineo. Kipindi
kinazungumzia maswali yote yenye kulenga Taifa
kama vile siasa, uchumi, utamaduni na mengine

Meza ya Busara. Ni kipindi vile vile
kinachosimamiwa na Mhariri huyu bila kusahau
kipindi kipya kabisa cha Mfanyabiashara na utajiri
na kipindi cha nyimbo za zamani chenye
umaarufu kwa jina la “ENZI ZAKE”

Pamoja na kusimamia kitengo cha
habari, John Solombi ndiye Msaidizi
mkuu wa Meneja wa Redio katika maswala ya
Utawala.
Pamoja na kuwa mume wa mke mmoja, kwa jina
la Lightness Solombi na mtoto wao mpendwa
Jackson Solombi, Bwana Solombi binafsi ni
Master of Ceremony MC katika shughuli
mbalimbali za kijamii kama vile sherehe za kitaifa,
send off party na nyingine
 Pengine unaweza kuwasiliana naye kupitia
0713-201421
0773-160733
0797-160733 Au
Email: solombijohn@yahoo.com
    waporadiofm@wapotz.org
Wajue watangazaji WAPO RADIO 98.0 MHZ
Gospel
Celebration...
Upendo Alphonce Mligo
Binti huyu ambaye hivi
sasa ni mwanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam; aliianza kazi
ya uimbaji katika
kanisa la KKKT Mkoani
Mbeya akiwa ni
Mwalimu na mtunzi wa

nyimbo za injili...