Huduma ya Maombezi ya
Kikuhani ilianza rasmi
tarehe 10 May 2008
Tupo na wewe muda
wote, tunakusikiliza...
TANGAZA HUDUMA
YAKO HAPA
PIGA SIMU
0714 116 229
NI USHUHUDA GANI
WA MATENDO
MAKUU YA MUNGU
ULIONAO?
ushuhuda@wapotz.org
WAJUE WATANGAZAJI
WAPO RADIO
SOMA GAZETI LA
MSEMAKWELI
UPATE HABARI KWA
KINA KUHUSU BINTI
HUYU MTANGAZAJI
WA KIPINDI CHA
GOSPEL PROMO
TIME RITHA WILLIAM
CHUWALO...
Gonga hapa kuwasiliana nasi
LAURA BONIVENTURE MSAMA
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
TANGAZA
KATIKA NAFASI
HII
Tupigie 0773 89
7777   
 au email:
waporadiofm@wapotz.org
TAARIFA
YA

HABARI...
TANGAZA
HUDUMA
YAKO

HAPA
Watanzania wametakiwa kufanya
maombezi maalum kwa ajili ya
kuwaombea watu wenye ulemavu
wa ngozi yaani albino ili waweze
kuepukana na janga lililoingia la
kuwaua kwa kisingizio cha kupata
utajiri miongoni mwa wanajamii
wenye imani za kishirikina.

Ombi hilo lilitolewa hivi karibuni na
Mbunge wa kuteuliwa mwakilishi wa
watu wenye ulemavu wa ngozi Mhe
Alishamaa Kwegir wakati alipokuwa
akizungumza kwenye tamasha la
mziki wa injili lililofanyika hivi
karibuni jijini Dar es Salaam.


Mbunge huyo ambaye pia ni Albino
alisema kwa wakati huu watu wenye
ulemavu wa ngozi wanaishi kwa
wasiwasi na mashaka wakati wote

Tena wakiwa hawajiamini kutokana
na kuwindwa kila sehemu kwa lengo
la kuuwawa na wananchi wenye
imani za kishirikina alisema yeye
mwenyewe....
Askofu Mgullu
Kilimba wa Kanisa
la Christian
Mission Fellowship
ya Jijini Dar es
Salaam amekemea
vikali suala la
mauaji ya
maalbino jambo
alilosema kuwa ni
ukatili wa ajabu na
kuitaka serikali
kuandaa mkakati  
maalumu wa
kuweza
kukomesha wale
wote wenye tabia
hiyo...
GOSPEL PROMO
TIME
Tamasha la Shusho lafana
DAR ES SALAAM.
Halmashauri ya
Biashara Ya Nje BET
Imeandaa Mafunzo
Maalum Kwa
Wajasiriamali Yenye
Lengo La Kukuza
Uchumi.
Hayo yamesemwa
na  Kaimu
Mkurugenzi wa Mkuu
wa BET, BWANA
SAMUEL MVINGIRA
wakati akizungumza
na waandishi wa
Habari Jijini
Dar es
salaam...
Upendo Alphonce Mligo
Binti huyu ambaye hivi sasa ni
mwanafunzi wa Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam; aliianza
kazi ya uimbaji katika kanisa
la KKKT Mkoani Mbeya
akiwa ni Mwalimu na mtunzi
wa
nyimbo za injili...
Wanafunzi wa Shalom Pre & Primary School katika Picha
Wanafunzi wa Shalom
Pre & Primary School
wakiwaelimisha
wazazi wao mwili wa
mwanadamu ulivyo...
Joshua Moses (3)
Ni mtoto wa
Kitanzania anayeishi
na wazazi wake
katika mazingira ya
kawaida nchini
Tanzania karibu sana
na WAPORADIO 98.0
FM na ambaye
alitokea getini ghafla
mara baada ya kipindi
cha watoto huku
akiwa ameshika
chungwa
anakula......
Karibu! Mama Mchungaji Greg Violi
Mama Marie Greg, Mke wa
Mchungaji Greg Violi
kutoka mji
wa Salem USA wakati
alipokuwa akitambulishwa kwa
waumini wa Huduma ya WAPO
Mission, Mbezi Beach
Dar es
Salaam...
Lengo ni
kutangaza
nyimbo za
waimbaji
chipukizi, star
waliopo sokoni
na wale
wanaotarajia
kuwa sokoni...
Dar es Salaam
GOSPEL PROMO TIME
Lengo ni kutangaza
nyimbo za waimbaji
chipukizi, star waliopo
sokoni na wale
wanaotarajia kuwa
sokoni...
Mwalimu Chale wa YES CHOIR
Ritha William Chuwalo akipewa tuzo
Tamasha Christina Shusho lafana
Huduma ya hakuna lisilowezekana
iliyoko chini ya ASKOFU SYLVESTER
GAMANYWA tawi la Temeke, leo
imetoa msaada wa fedha kwa wajane
na yatima zaidi ya 20, katika ibada
maalumu ya Krismas, iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa PTA viwanya vya
Mwalimu JK Nyerere zamani
Sabasaba jijini Dar es salaam.

Akikabidhi msaada huo mchungaji
MICHAEL MGULU wa huduma hiyo,
amewataka wajane hao kutumia fedha
hizo kwa ajili ya maendeleo
yatakayomtukuza Mungu, ikwemo
kuanzisha biashara badala ya
kubweteka nazo katika matumizi
yasiyo ya lazima.

Akizungumzia suala la kuwasaidia
wajane na yatima MCHUNGAJI
MGULLU amesema, huduma hiyo
imeona ni vyema kuwakumbuka ili
kutimiza Neno la Mungu kitu ambacho
amesema kanisa limejisahau katika
kulitimiza kusudi hilo.

Kwa upande wa wajane hao
wameshukuru kwa msaada huo na
kwamba wamejisikia faraja na kusema
kuwa ,fedha hizo zitawasaidia katika
mitaji ya biashara zao ambazo ndizo
zilikuwa ndoto zao za kila siku.

Jumla ya shilingi milioni moja na laki
mbili zimetolewa, ambapo kila mmoja
amepata kiasi cha shilingi elfu 50.
Aidha huduma hiyo inampango wa
kuwasaidia yatima na wajane walio nje
ya huduma hiyo pindi mfuko wa
makundi hayo utakapofikia kiwango
kizuri...
Zawadi kwa wajane na Yatima