HABARI KWA KIFUPI
TANGAZA HAPA
Qeene NTE Mchomvu
WAJUE WATANGAZAJI
WAPO RADIO
Wajue watangazaji WAPO RADIO 98.0 MHZ
Copyright© WAPO RADIO
MSAMA {LBM}
NA
KIPINDI CHA GOSPEL
CELEBRATION
CELEBRATION
J’MOSI SAA 7:30-10:00

Simanzi!

Debora John Shaban

Ni muimbaji wa muziki wa
injili nchini Tanzania
amefariki dunia

Debora John shaban
alifariki dunia jana jioni tar
11.07.2008 majira ya sa 12
katika hospitali ya Taifa
Muhimbili

Kwa mujibu wa vyombo
mbali mbali vya habari,
Debora John Shaban
alikuwa akisumbuliwa na
maradhi mbalimbali,
ikiwemo tatizo la kuvimba
shingo na kuweka tezi
kubwa huku, sehemu
kubwa ya mwili wake
ikiishiwa nguvu.

Kwa mujibu wa ndugu wa
marehemu taratibu za
mazishi zinaendelea
nyumbani kwa shemeji
yake magomeni Dar es
salaam.

Kipindi cha Gospel
Celebration pamoja na
Wapo Mission kinampa
pole mume wa marehemu
Debora John Shaban,
pamoja na  ndugu jamaa
na marafiki waliofikwa na
msiba huo.

Bwana ametoa na Bwana
ametwaa Jina la Bwana
lihimidiwe...
Amen...
LAURA BONIVENTURE MSAMA
W
A
P
O

R
A
D
I
O

T
U
M
E
L
E
N
G
A

K
U
K
U
H
A
B
A
R
I
S
H
A
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA
Bwana George Mpela wa
PRAISE POWER RADIO
akimfariji Mfiwa na Muimbaji
wa nyimbo za Injili Bwana
John Shaban alipofiwa na
mkewe Debora John Shaban
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA
TANGAZA HAPA