


| HABARI KWA KIFUPI |
| TANGAZA HAPA |

| WAJUE WATANGAZAJI WAPO RADIO |

| LAURA BONIVENTURE MSAMA {LBM} NA KIPINDI CHA GOSPEL CELEBRATION |
| MTANGAZAJI NA MTAYARISHAJI WA VIPINDI NA MATANGAZO |
| W A P O R A D I O T U M E L E N G A K U K U H A B A R I S H A |
| GOSPEL CELEBRATION J’MOSI SAA 7:30-8:00 NYIMBO MBALIMBALI KUTOKA NJE YA BARA LA AFRICA 8:00 – 8:30 NYIMBO MBALIMBALI KUTOKA HAPA KWETU TANZANIA 8:30-9:00 KUTAMBULISHA WIMBO MPYA KUTOKA KATIKA KIKUNDI/MUIMBAJI BINAFSI WA HAPA TANZANIA. 9:00-10:00 BURUDANI YA NYIMBO MBALIMBALI ZA NDANI YA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA JE, UNAUSHAURI AU MAONI KUHUSIANA NA RATIBA HII? UNGEPENDA IBALIKE? Pendekeza mabadiliko yako kupitia email zifuatazo gc@wapotz.org gc@yahoo.com
Jamii inanufaika na kipindi hiki kwa kupata ujumbe wa neno la MUNGU lenye kujenga, kufundisha kutoa faraja, kuponya na kumtukuza MUNGU, kupata burudani kupitia mapigo ya muziki {beats}, kufahamu ni waimbaji gani wapya au nyimbo mpya zilizoingia katika ulimwengu wa muziki wa injili, nyimbo zao zinapatikana wapi na kwa mtindo gani; Jinsi ya kumpata muimbaji {mawasiliano yake} vilevile historia ya muimbaji kwa ufupi.
98.0 Wapo Radio FM ni radio ya dini inayoongoza kwa vipindi vizuri na watangazaji wenye viwango, ni mguso wa jamii kama watangazaji wanavyojitahidi kuigusa jamii, Karibu kusikiliza 98.0 Aimen. |




| TANGAZA HAPA |
| TANGAZA HAPA |

| TANGAZA HAPA |

| TANGAZA HAPA PIGA SIMU 0754 567389 |
| GOSPEL CELEBRATION |
