HABARI KWA KIFUPI
TANGAZA HAPA
Qeene NTE Mchomvu
WAJUE WATANGAZAJI
WAPO RADIO
Wajue watangazaji WAPO RADIO 98.0 MHZ
Copyright© WAPO RADIO
LAURA BONIVENTURE
MSAMA {LBM}
MTANGAZAJI NA MTAYARISHAJI WA VIPINDI
NA MATANGAZO
KIPINDI CHA GOSPEL
CELEBRATION
W
A
P
O

R
A
D
I
O

T
U
M
E
L
E
N
G
A

K
U
K
U
H
A
B
A
R
I
S
H
A
LAURA BONIVENTURE MSAMA

MWENYE
SAUTI YA
KIMZIKI  
Miriam
MAUKI
TANGAZA
HAPA
Shalom! Pre & Primary School: Mwaka jana wamefaulu kwa 100%
TANGAZA
HAPA
TANGAZA

HAPA
TANGAZA
HAPA
PIGA SIMU
0754
567389
TANGAZA
HAPA
GOSPEL
CELEBRATION
Thomas Dexter
Jake ni mzaliwa wa
south Charleston,
west Virginia nchini
Marekani. Alizaliwa
june 9, 1957 katika
ujana wake Jakes
alikuwa akiitwa
Bible Boy...
Kwenye mitaa yote ya west Virginia, hata
hivyo Jakes hutamka ‘th’ badala ya ‘s’[lisp
problem] hivyo watu wengiwalimwambia
hataweza kuhubiri,baada ya baba yake
jakes kufariki kwa matatizo ya figo mwaka
1979

Jakes akiwa na fedha kidogo sana za
kwake pamoja na watu 10 waliomuunga
mkono walianzisha kanisa lililojulikana
kama The Great Emmanuel temple of
faith huko Montgomery, West Virginia.

Jakes alikuwa akifanya kazi ya usafi
katika mitaro ya maji taka ili  apate fedha
za kuendesha kanisa lake mpaka hapo
kanisa lilipoweza kusimama lenyewe.
Mwaka 1981 alifunga ndoa na serita ann
Jamison, wamejaliwa kuwa na watoto
watano, jamar, jermaine, cora, sara na
Thomas

Jakes alifanyiwa vipimo vya NDA na
kugundulika kuwa anatokea kwenye jamii
ya watu wa igbo ambayo kwa sasa
inafahamika Nigeria. Uhusiano wake na
Nigeria unatokea kwa bibi yake mzaa
baba ambaye alikuwa raia wa Nigeria.
Jakes amewahi kupata tuzo nyingi kama
Grammy na Dove kwa ubora wa albam
yake ya injili inayoitwa live at the potter’s
house

Hata ivyo jarida la time maarufu kama
time magazine limemtaja jakes kuwa ni
miongoni mwa viongozi kumi bora wa dini
nchini marekani. Pia Jakes anashahada
13 za nidhamu na doctor of philosophy -
PhD...
Na Mtangazaji wako
LAURA B. MSAMA
Loraventura
Email; lerramsama @yahoo.com

==============
Wiki ijayo  ni Kirk Franklin muimbaji wa
muziki wa injili nchini marekani
Alizaliwa Fort Worth Texas mwaka 1970.
alitelekezwa na mamayake mzazi na
kulelewa na shangazi yake…………….
kwa habari zaidi ungana nami katika
gospel celebration yaani gc
Jumamosi ijayo
Sara Magesa na Queen Mtomvu
Sara Magesa na Queen Mtomvu,
waimbaji wa nyimbo za Injili ambao
wanaabudu BCIC Temeke.
Wamekuwa wakiimba kwa
kupokezana iwe ni kwa kusifu au
kwa kuabudu ndani ya ukumbi wa
PTA, waimbaji hawa wamekuwa ni
vyombo vitakatifu vya Bwana Yesu
kwa kazi
maalum...
Askofu TD JAKES
Kim Robinson, Askofu T.D. Jakes na Anthea
Robinson