TANGAZA
HAPA
W
A
P
O

R
A
D
I
O

T
U
M
E
L
E
N
G
A

K
U
K
U
H
A
B
A
R
I
S
H
A
Askofu aliamua kuvua koti ili aweza kumwimbia Mungu vizuri, pengine zaidi ya Mfalme Daudi

Askofu Sylvester
Gamanywa
akiongoza kwa
kuimba pambio
maarufu na yenye
"Aleluyah Hosana"
25 Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila
walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za
kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakisikiliza.

Ghafla pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya
gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka,
vifungo vya wote vikalegezwa. 27 Yule mlinzi wa gereza
akaamka, naye alipoona milango ya gereza imefunguka,
alifuta upanga, akataka kujiua, akidhani ya kuwa
wafungwa wamekimbia.

28 Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema,
usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa. 29 Akataka
taa ziletwe, akarukia ndani, akitetemeka kwa hofu,
akawaangukia Paulo na Sila, 30 kisha akawaleta nje
akasema,
Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate
kuokoka?
31 Wakamwambia, MWAMINI BWANA
YESU, nawe utaookoka pamoja na nyumba yako.

32 Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote
waliomo nyumbani mwake. 33 Akawakaribisha saa ile ile
ya usiku, akawaosha mapigo yao,
kisha akabatizwa,
yeye na watu wake wote wakati uo huo.

34 Akawaleta juu nyumbani kwake, akawaandalia
chakula, akafurahi sana, yeye na nyumba yake yote,
maana amekwisha kumwamini Mungu. 35
Kulipopambauka makadhi wakatuma wakubwa wa askari
wakisema,
waacheni watu wale waende zao.
Wakati Askofu akiongoza kipindi cha sifa
katika ukumbi maarufu wa BCIC Mbezi
Beach, Ritha mwana wa Chuwalo aliamua
kucheza na kuimba sambamba na bahati
bukuku katika wimbo wa waraka wa
hamani ndani ya studio za WAPO RADIO
98.0 FM

Huu ulikuwa ni wakati Beatrice Kamanga
akiendesha kipindi cha safari ya jioni,  
kinachorushwa kuanzia saa kumi hadi
saa moja za jioni (10.00-1.00) alipoweka
wimbo wa Bahati Bukuku wa Waraka wa
Hamani unaopatikana kwenye albamu
iitwayo Tumesamehewa dhambi.
Kabla hajaanza kuimbisha, Askofu akasema, "pamoja
na viboko walivyochapwa akina Paulo na Sila, kabla ya
kufungwa minyororo na kutupwa gerezani. Wao badala
ya kuhuzunikia viboko vile kwa vile walionewa,
wakaimba na kumtukuza Mungu"

Akaongeza, watu hawa wawili walimsifu Mungu,
milango ya gereza na minyororo ikafunguka

Yote haya yanapatikana katika kitabu cha
Matendo ya
Mitume 16:19-32

Neno linasema, "Basi bwana zake walipoona kuwa
tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata,
Paulo na Sila wakawakokota mpaka sokoni mbele ya
wakuu wa mji,

20 Wakawachukua kwa makadhi wakasema, watu
hawa wanachafua sana mji wetu, nao ni Wayahudi.

21 Tena wanatangaza habari ya desturi zisizokuwa
halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata kwa kuwa sisi si
Warumi. 22 Makutano wote wakaondoka
wakawaendea, makadhi wakawavua nguo zao kwa
nguvu wakatoa amri wapigwe kwa bakora.
Na walipokwisha kuwapiga mapigo mengi, wakawatupa
gerezani, wakamwamuru mlinzi wa gereza
awalinde
sana
. 24Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika
chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.